Amos 6:11
Kwa kuwa Bwana ameamuru, 2 naye atabomoa jumba kubwa vipande vipande 2 na nyumba ndogo vipande vidogo vidogo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 105:16Akaiita njaa juu ya nchi 2 na kuharibu chakula chao chote, 1
Psalms 105:34Alisema, nzige wakaja, 2 tunutu wasio na idadi, 1
Isaiah 10:5“Ole kwa Ashuru, fimbo ya hasira yangu, 2 ambaye mkononi mwake ana rungu ya ghadhabu yangu! 1
Isaiah 46:10Ni mimi nitangazaye mwisho tangu mwanzo, 2 naam, tangu zamani za kale, 2 mambo ambayo hayajatendeka. 1 Ninasema: Kusudi langu ndilo litakalosimama, 2 nami nitatenda mapenzi yangu yote. 1
Ezekiel 29:18“Mwanadamu, Nebukadneza mfalme wa Babeli aliongoza jeshi lake kufanya kazi ngumu dhidi ya Tiro; kila kichwa kilipata upaa na kila bega likachunika. Lakini yeye na jeshi lake hawakupata malipo yoyote kutokana na muda wote aliongoza hiyo vita dhidi ya Tiro.
Amos 3:6Je, tarumbeta inapopigwa mjini kujulisha hatari, 2 watu hawatetemeki? 1 Mji upatwapo na maafa, 2 je, si Bwana amesababisha? 1