The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 6 › Amos 6:12

Amos 6:12

Je, farasi waweza kukimbia kwenye miamba mikali? 2 Je, aweza mtu kulima huko kwa maksai? 1 Lakini mmegeuza haki kuwa sumu 2 na matunda ya uadilifu kuwa uchungu: 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Shall horses run upon the rock? will one plow there with oxen? for ye have turned judgment into gall, and the fruit of righteousness into hemlock:

In Context

11Kwa kuwa Bwana ameamuru, 2 naye atabomoa jumba kubwa vipande vipande 2 na nyumba ndogo vipande vidogo vidogo. 1

13ninyi mnaoshangilia kushindwa kwa Lo-Debari 2 na kusema, “Je, hatukuteka Karnaimu kwa nguvu zetu wenyewe?” 1

Read all of Amos 6

Cross References

1 Kings 21:7Yezebeli mke wake akasema, “Hivi ndivyo unavyofanya, nawe ni mfalme katika Israeli yote? Inuka na ule! Changamka. Nitakupatia shamba la mizabibu la Nabothi, Myezreeli.”

Isaiah 48:4Kwa kuwa nalijua jinsi ulivyokuwa mkaidi; 2 mishipa ya shingo yako ilikuwa chuma, 2 kipaji chako cha uso kilikuwa shaba. 1

Jeremiah 5:3Ee Bwana, je, macho yako hayaitafuti kweli? 2 Uliwapiga, lakini hawakusikia maumivu, 2 uliwapondaponda, lakini walikataa maonyo. 1 Walifanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko jiwe 2 nao walikataa kutubu. 1

Hosea 10:4Wanaweka ahadi nyingi, 2 huapa viapo vya uongo 2 wanapofanya mapatano; 1 kwa hiyo mashtaka huchipuka 2 kama magugu ya sumu 2 katika shamba lililolimwa. 1

Amos 5:7Ninyi ambao mnageuza haki kuwa uchungu 2 na kuiangusha haki chini 1

Micah 7:3Mikono yote miwili ni hodari katika kufanya ubaya, 2 mtawala anadai zawadi, 1 hakimu anapokea rushwa, 2 wenye nguvu wanaamuru wanachotaka: 2 wote wanafanya shauri baya pamoja. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 6:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 6:11Amos 6Amos 6:13 →