Amos 6:3
Mnaiweka mbali siku iliyo mbaya 2 na kuleta karibu utawala wa kuogofya. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Ye that put far away the evil day, and cause the seat of violence to come near;
In Context
Cross References
Ecclesiastes 8:11Wakati hukumu juu ya tendo ovu haitekelezwi upesi, mioyo ya watu hujaa mipango ya kutenda maovu.
Isaiah 56:12Kila mmoja hulia, “Njooni, tupate mvinyo! 2 Tunywe kileo sana! 1 Kesho itakuwa kama leo, 2 au hata bora zaidi.”
Ezekiel 12:27“Mwanadamu, nyumba ya Israeli inasema, ‘Maono yale anayoyaona ni kwa ajili ya miaka mingi ijayo, naye hutabiri kuhusu siku zijazo zilizo mbali.’
Amos 3:10Bwana asema: “Hawajui kutenda lililo jema, 2 wale ambao hujilundikia nyara 2 na vitu vilivyotekwa katika ngome zao.”
Amos 5:18Ole wenu ninyi mnaoitamani 2 siku ya Bwana! 1 Kwa nini mnaitamani siku ya Bwana? 2 Siku hiyo itakuwa giza, si nuru. 1
Amos 9:10Watenda dhambi wote miongoni mwa watu wangu 2 watauawa kwa upanga, 1 wale wote wasemao, 2 ‘Maafa hayatatupata wala kutukuta.’ 1 Kurejezwa Kwa Israeli 1