Amos 7:11
Kwa kuwa hili ndilo Amosi analosema: 1 “ ‘Yeroboamu atakufa kwa upanga, 2 na kwa hakika Israeli watakwenda uhamishoni, 2 mbali na nchi yao.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 17:6Katika mwaka wa tisa wa Hoshea, mfalme wa Ashuru akaiteka Samaria na kuwahamishia Waisraeli huko Ashuru. Akawaweka huko Hala, na Gozani karibu na Mto Habori, na katika miji ya Wamedi. 1 Israeli Inakwenda Uhamishoni Kwa Sababu Ya Dhambi
Jeremiah 26:9Kwa nini unatoa unabii katika jina la Bwana kwamba nyumba hii itakuwa kama Shilo na mji huu utakuwa ukiwa na kuachwa tupu?” Nao watu wote wakamkusanyikia na kumzunguka Yeremia ndani ya nyumba ya Bwana.
Amos 6:7Kwa hiyo mtakuwa miongoni mwa watu wa kwanza kwenda uhamishoni; 2 karamu zenu na kustarehe kutakoma. 1 Bwana Anachukia Kiburi Cha Israeli
Matthew 26:61na kusema, “Huyu mtu alisema, ‘Ninaweza kulivunja Hekalu la Mungu na kulijenga tena kwa siku tatu.’ ”