The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 7 › Amos 7:12

Amos 7:12

Kisha Amazia akamwambia Amosi, “Nenda zako, ewe mwonaji! Urudi katika nchi ya Yuda. Ujipatie riziki yako huko na kutoa unabii wako.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Also Amaziah said unto Amos, O thou seer, go, flee thee away into the land of Judah, and there eat bread, and prophesy there:

In Context

11Kwa kuwa hili ndilo Amosi analosema: 1 “ ‘Yeroboamu atakufa kwa upanga, 2 na kwa hakika Israeli watakwenda uhamishoni, 2 mbali na nchi yao.’ ”

13Usiendelee kutoa unabii katika Betheli, kwa sababu hapa ni mahali pa mfalme pa kuabudia na Hekalu la ufalme huu.”

Read all of Amos 7

Cross References

1 Samuel 2:36Kisha kila mmoja aliyeachwa katika mbari yenu atakuja na kusujudu mbele yake kwa ajili ya kipande cha fedha na ganda la mkate akisema, “Niteue katika baadhi ya ofisi ya ukuhani ili niweze kupata chakula.” ’ ”

2 Chronicles 16:10Asa akamkasirikia mwonaji kwa sababu ya jambo hili. Alikuwa ameghadhibika sana hata akamweka gerezani. Wakati huo huo Asa akaanza kuwatesa na kuwaonea baadhi ya watu kwa ukatili.

Isaiah 56:11Ni mbwa wenye tamaa kubwa, 2 kamwe hawatosheki. 1 Wao ni wachungaji waliopungukiwa na ufahamu; 2 wote wamegeukia njia yao wenyewe, 2 kila mmoja hutafuta faida yake mwenyewe. 1

Amos 2:12“Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo 2 na kuwaamuru manabii wasitoe unabii. 1

Matthew 8:34Kisha watu wote wa mji huo wakatoka kwenda kukutana na Yesu. Nao walipomwona wakamsihi aondoke kwenye nchi yao.

Luke 13:31Wakati huo huo baadhi ya Mafarisayo wakamwendea Yesu na kumwambia, “Ondoka hapa uende mahali pengine kwa maana Herode anataka kukuua.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 7:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 7:11Amos 7Amos 7:13 →