Amos 6:7
Kwa hiyo mtakuwa miongoni mwa watu wa kwanza kwenda uhamishoni; 2 karamu zenu na kustarehe kutakoma. 1 Bwana Anachukia Kiburi Cha Israeli
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 20:16Wakaondoka wakati wa adhuhuri, Ben-Hadadi na wale wafalme thelathini na wawili walioungana naye walipokuwa katika mahema yao wakilewa.
Esther 5:12Hamani akaongeza, “Si hayo tu. Mimi ndiye mtu pekee ambaye Malkia Esta amemwalika kumsindikiza mfalme kwenye karamu aliyomwandalia. Naye amenialika pamoja na mfalme kesho.
Esther 7:8Mara mfalme aliporudi kutoka bustani ya jumba la kifalme na kuja kwenye ukumbi wa karamu, Hamani alikuwa akijitupa juu ya kiti mahali ambapo Esta alikuwa akiegemea. Mfalme akasema kwa nguvu, “Je, atamdhalilisha malkia hata huku nyumbani akiwa pamoja nami!” Mara neno lilipotoka kinywani mwa mfalme, walifunika uso wa Hamani.
Isaiah 24:8Furaha ya matoazi imekoma, 2 kelele za wenye furaha zimekoma, 2 shangwe za kinubi zimenyamaza. 1
Amos 4:3Nanyi mtakwenda moja kwa moja 2 kupitia mahali palipobomolewa kwenye ukuta, 2 nanyi mtatupwa nje kuelekea Harmoni,” 4 asema Bwana. 1
Amos 5:27Kwa sababu hiyo nitawapeleka uhamishoni mbali kupita Dameski,” 2 asema Bwana, ambaye jina lake ni Mungu Mwenye Nguvu Zote.