The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 7 › Amos 7:5

Amos 7:5

Ndipo nikalia, “ Bwana Mwenyezi, nakusihi, zuia! Je, Yakobo atawezaje kuendelea kuishi? Yeye ni mdogo sana!”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then said I, O Lord GOD, cease, I beseech thee: by whom shall Jacob arise? for he is small.

In Context

4Hili ndilo Bwana Mwenyezi alilonionyesha katika maono: Bwana Mwenyezi alikuwa akiita hukumu ya moto; nao ulikausha vilindi vikuu, ukateketeza nchi.

6Kwa hiyo Bwana akaghairi. Bwana Mwenyezi akasema, “Hili nalo halitatokea.” 1 Maono Ya Tatu: Timazi

Read all of Amos 7

Cross References

Psalms 85:4Ee Mungu Mwokozi wetu, uturejeshe tena, 2 nawe uiondoe chuki yako juu yetu. 1

Isaiah 10:25Bado kitambo kidogo sana hasira yangu dhidi yenu itakoma, 2 na ghadhabu yangu itaelekezwa kwenye maangamizi yao.” 1

Ezekiel 9:8Wakati walikuwa wakiwaua watu, nami nilikuwa nimeachwa peke yangu, nikaanguka kifudifudi, nikapiga kelele nikisema, “Ee Bwana Mwenyezi! Je, utaangamiza mabaki yote ya Israeli, katika kumwagwa huku kwa ghadhabu yako juu ya Yerusalemu?”

Amos 7:2Wakati nzige walikuwa wamekula mimea yote ya nchi, nililia kwa sauti kuu, “ Bwana Mwenyezi, samehe! Je, Yakobo atawezaje kuendelea kuishi? Yeye ni mdogo sana!”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 7:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 7:4Amos 7Amos 7:6 →