The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 7 › Amos 7:4

Amos 7:4

Hili ndilo Bwana Mwenyezi alilonionyesha katika maono: Bwana Mwenyezi alikuwa akiita hukumu ya moto; nao ulikausha vilindi vikuu, ukateketeza nchi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thus hath the Lord GOD shewed unto me: and, behold, the Lord GOD called to contend by fire, and it devoured the great deep, and did eat up a part.

In Context

3Kwa hiyo Bwana akaghairi. Kisha Bwana akasema, “Hili halitatokea.” 1 Maono Ya Pili: Moto

5Ndipo nikalia, “ Bwana Mwenyezi, nakusihi, zuia! Je, Yakobo atawezaje kuendelea kuishi? Yeye ni mdogo sana!”

Read all of Amos 7

Cross References

Leviticus 10:2Hivyo moto ukaja kutoka kwa uwepo wa Bwana na kuwaramba, nao wakafa mbele za Bwana.

Deuteronomy 32:22Kwa maana moto umewashwa kwa hasira yangu, 2 ule uwakao hadi kwenye vina vya mauti. 1 Utateketeza dunia pamoja na mazao yake, 2 na kuwasha moto katika misingi ya milima. 1

Isaiah 66:15Tazama, Bwana anakuja na moto, 2 magari yake ya vita ni kama upepo wa kisulisuli, 1 atateremsha hasira yake kwa ghadhabu kali, 2 na karipio lake pamoja na miali ya moto. 1

Jeremiah 21:12Ewe nyumba ya Daudi, hili ndilo Bwana asemalo: 1 “ ‘Hukumuni kwa haki kila asubuhi, 2 mwokoeni mikononi mwa mdhalimu 2 yeye aliyetekwa nyara, 1 la sivyo ghadhabu yangu italipuka 2 na kuwaka kama moto 1 kwa sababu ya uovu mlioufanya: 2 itawaka na hakuna wa kuizima. 1

Joel 2:30Nami nitaonyesha maajabu katika mbingu 2 na duniani: 2 damu, moto na mawimbi ya moshi. 1

Amos 1:7nitatuma moto juu ya kuta za Gaza 2 ambao utateketeza ngome zake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 7:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 7:3Amos 7Amos 7:5 →