Amos 8:13
“Katika siku ile 1 “wasichana wazuri na vijana wanaume wenye nguvu 2 watazimia kwa sababu ya kiu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In that day shall the fair virgins and young men faint for thirst.
In Context
Cross References
Psalms 63:1Ee Mungu, wewe ni Mungu wangu, 2 nakutafuta kwa moyo wote; 1 nafsi yangu inakuonea kiu, 2 mwili wangu unakuonea wewe shauku, 1 katika nchi kame na iliyochoka 2 mahali ambapo hapana maji. 1
Isaiah 40:30Hata vijana huchoka na kulegea, 2 nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka, 1
Jeremiah 48:18“Shuka kutoka fahari yako 2 na uketi katika ardhi iliyokauka, 2 enyi wenyeji wa Binti wa Diboni, 1 kwa maana yeye aangamizaye Moabu atakuja dhidi yako, 2 na kuangamiza miji yako iliyozungushiwa maboma. 1
Lamentations 2:10Wazee wa Binti Sayuni 2 wanaketi chini kimya, 1 wamenyunyiza mavumbi kwenye vichwa vyao 2 na kuvaa nguo za gunia. 1 Wanawali wa Yerusalemu 2 wamesujudu hadi ardhini. 1
Hosea 2:3Kama sivyo nitamvua nguo zake awe uchi 2 na kumwacha uchi kama siku ile aliyozaliwa. 1 Nitamfanya kama jangwa, 2 nitamgeuza awe nchi ya kiu, 2 nami nitamuua kwa kiu. 1
Zechariah 9:17Jinsi gani watavutia na kuwa wazuri! 2 Nafaka itawastawisha vijana wanaume, 2 nayo divai mpya vijana wanawake.