The Bible Software
bible.softwareWalawiWalawi 19 › Walawi 19:36

Walawi 19:36

Tumia mizani halali, mawe ya kupimia uzito halali, efa + 19:36 Efa kilikuwa kipimo cha vitu vikavu. halali, na hini + 19:36 Hini kilikuwa kipimo cha vitu vimiminika. halali. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, ambaye alikutoa katika nchi ya Misri.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Just balances, just weights, a just ephah, and a just hin, shall ye have: I am the LORD your God, which brought you out of the land of Egypt.

In Context

35“ ‘Usitumie vipimo vya udanganyifu unapopima urefu, kupima uzito, wala kupima wingi.

37“ ‘Shika amri zangu zote na sheria zangu zote, nawe uzifuate. Mimi ndimi Bwana.’ ”

Read all of Walawi 19

Cross References

Exodus 20:2“Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekutoa Misri, kutoka nchi ya utumwa. 1

Deuteronomy 25:13Usiwe na mawe ya kupimia ya aina mbili katika mkoba wako, moja zito na jingine jepesi.

Proverbs 11:1Bwana huchukia sana mizani za udanganyifu, 2 bali vipimo sahihi ni furaha yake. 1

Proverbs 20:10Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti, 2 Bwana huchukia vyote viwili. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Walawi 19:36

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Walawi 19:35Walawi 19Walawi 19:37 →