Proverbs 16:11
Vipimo na mizani za halali hutoka kwa Bwana; 2 mawe yote ya kupimia yaliyo katika mfuko ameyafanya yeye. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A just weight and balance are the LORD’S: all the weights of the bag are his work.
In Context
10Midomo ya mfalme huzungumza kwa hekima ya kiungu, 2 wala kinywa chake hakipotoshi haki. 1
12Wafalme huchukia sana kutenda maovu, 2 kwa maana kiti cha ufalme hufanywa imara kwa njia ya haki. 1
Cross References
Leviticus 19:36Tumia mizani halali, mawe ya kupimia uzito halali, efa + 19:36 Efa kilikuwa kipimo cha vitu vikavu. halali, na hini + 19:36 Hini kilikuwa kipimo cha vitu vimiminika. halali. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, ambaye alikutoa katika nchi ya Misri.
Proverbs 11:1Bwana huchukia sana mizani za udanganyifu, 2 bali vipimo sahihi ni furaha yake. 1
Proverbs 20:23Bwana anachukia sana mawe ya kupimia ya udanganyifu, 2 nazo mizani zisizo halali hazimpendezi. 1
Hosea 12:7Mfanyabiashara hutumia vipimo vya udanganyifu; 2 hupenda kupunja. 1
Micah 6:11Je, naweza kuhukumu kuwa 2 mtu mwenye mizani ya udanganyifu hana hatia, 2 aliye na mfuko wa mawe ya kupimia ya uongo? 1