The Bible Software
bible.softwareAmosiAmosi 9 › Amosi 9:11

Amosi 9:11

“Katika siku ile nitaisimamisha 2 hema ya Daudi iliyoanguka. 1 Nitakarabati mahali palipobomoka 2 na kujenga upya magofu yake, 2 na kuijenga kama ilivyokuwa awali, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In that day will I raise up the tabernacle of David that is fallen, and close up the breaches thereof; and I will raise up his ruins, and I will build it as in the days of old:

In Context

10Watenda dhambi wote miongoni mwa watu wangu 2 watauawa kwa upanga, 1 wale wote wasemao, 2 ‘Maafa hayatatupata wala kutukuta.’ 1 Kurejezwa Kwa Israeli 1

12ili wapate kuyamiliki mabaki ya Edomu, 2 na mataifa yote yale yanayobeba Jina langu,” 4 asema Bwana ambaye atafanya mambo haya.

Read all of Amosi 9

Cross References

Psalms 80:12Mbona umebomoa kuta zake 2 ili wote wapitao karibu 2 wazichume zabibu zake? 1

Psalms 143:5Nakumbuka siku za zamani; 2 natafakari juu ya kazi zako zote, 1 naangalia juu ya kazi 2 ambazo mikono yako imezifanya. 1

Isaiah 9:6Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, 2 tumepewa mtoto mwanaume, 2 nao utawala utakuwa mabegani mwake. 1 Naye ataitwa 2 Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, 2 Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. 1

Isaiah 16:5Kwa upendo kiti cha enzi kitaimarishwa, 2 kwa uaminifu mtu ataketi juu yake, 2 yeye atokaye nyumba ya Daudi: 1 yeye ambaye katika kuhukumu hutafuta haki, 2 na huhimiza njia ya haki. 1

Jeremiah 23:5Bwana asema, “Siku zinakuja, 2 nitakapomwinulia Daudi Tawi lenye haki, 1 Mfalme atakayetawala kwa hekima, 2 na kutenda lililo haki na sawa katika nchi. 1

Jeremiah 33:14“ ‘Siku zinakuja,’ asema Bwana, ‘wakati nitakapotimiza ahadi yangu ya rehema niliyoifanya kwa nyumba ya Israeli na kwa nyumba ya Yuda. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amosi 9:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amosi 9:10Amosi 9Amosi 9:12 →