The Bible Software
bible.softwareAmosiAmosi 9 › Amosi 9:12

Amosi 9:12

ili wapate kuyamiliki mabaki ya Edomu, 2 na mataifa yote yale yanayobeba Jina langu,” 4 asema Bwana ambaye atafanya mambo haya.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

That they may possess the remnant of Edom, and of all the heathen, which are called by my name, saith the LORD that doeth this.

In Context

11“Katika siku ile nitaisimamisha 2 hema ya Daudi iliyoanguka. 1 Nitakarabati mahali palipobomoka 2 na kujenga upya magofu yake, 2 na kuijenga kama ilivyokuwa awali, 1

13“Siku zinakuja,” asema Bwana, 1 “wakati mvunaji atatanguliwa na mkulima, 2 naye mpanzi atatanguliwa na yeye akamuaye zabibu. 1 Divai mpya itadondoka kutoka milimani, 2 na kutiririka kutoka vilima vyote. 1

Read all of Amosi 9

Cross References

Genesis 27:29Mataifa na yakutumikie 2 na mataifa yakusujudie. 1 Uwe bwana juu ya ndugu zako, 2 na wana wa mama yako wakusujudie. 1 Walaaniwe wale wakulaanio, 2 nao wale wakubarikio wabarikiwe.”

Numbers 24:17“Namwona yeye, lakini si sasa; 2 namtazama yeye, lakini si karibu. 1 Nyota itatoka kwa Yakobo, 2 fimbo ya ufalme itainuka kutoka kwa Israeli. 1 Atawaponda Wamoabu vipaji vya nyuso 2 na mafuvu yote ya wana wa Shethi. 1

Psalms 60:8Moabu ni sinia langu la kunawia, 2 juu ya Edomu natupa kiatu changu; 2 nashangilia kwa kushindwa kwa Ufilisti.” 1

Isaiah 14:1Bwana atamhurumia Yakobo, 2 atamchagua Israeli tena, 2 na kuwakalisha katika nchi yao wenyewe. 1 Wageni wataungana nao 2 na kujiunga na nyumba ya Yakobo. 1

Isaiah 63:19Sisi tumekuwa kama wale ambao hujawatawala kamwe, 1 kama wale ambao hawajaitwa kwa jina lako.

Jeremiah 14:9Mbona unakuwa kama mtu aliyeshtukizwa, 2 kama shujaa asiye na uwezo wa kuokoa? 1 Wewe uko katikati yetu, Ee Bwana, 2 nasi tunaitwa kwa jina lako; 2 usituache!

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amosi 9:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amosi 9:11Amosi 9Amosi 9:13 →