Amosi 9:15
Nitaipanda Israeli katika nchi yao wenyewe, 2 hawatangʼolewa tena 2 kutoka nchi ambayo nimewapa,” 4 asema Bwana Mungu wenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Jeremiah 16:15bali watasema, ‘Hakika kama Bwana aishivyo, aliyewatoa wana wa Israeli kutoka nchi ya kaskazini na nchi zote alizokuwa amewafukuzia.’ Maana nitawarudisha katika nchi niliyowapa baba zao.
Jeremiah 32:41Nitafurahia kuwatendea mema, na kwa hakika nitawapanda katika nchi hii kwa moyo wangu wote na roho yangu yote.
Ezekiel 37:25Wataishi katika nchi niliyompa mtumishi wangu Yakobo, nchi ambamo baba zenu waliishi. Wao na watoto wao na watoto wa watoto wao wataishi humo milele, naye Daudi mtumishi wangu atakuwa mkuu wao milele.
Micah 4:4Kila mtu ataketi chini ya mzabibu wake 2 na chini ya mtini wake, 1 wala hakuna mtu atakayewaogopesha, 2 kwa kuwa Bwana Mwenye Nguvu Zote amesema. 1