Amosi 9:14
Nitawarejesha tena watu wangu Israeli waliohamishwa; 2 wataijenga tena miji iliyoachwa magofu, 2 nao wataishi ndani mwake. 1 Watapanda mizabibu na kunywa divai yake; 2 watalima bustani na kula matunda yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 61:4Watajenga upya magofu ya zamani 2 na kupatengeneza mahali palipoachwa ukiwa zamani; 1 watafanya upya miji iliyoharibiwa, 2 iliyoachwa ukiwa kwa vizazi vingi. 1
Isaiah 65:21Watajenga nyumba na kuishi ndani yake; 2 watapanda mashamba ya mizabibu na kula matunda yake. 1
Jeremiah 29:14Nitaonekana kwenu,” asema Bwana, “nami nitawarudisha watu wenu waliotekwa. Nitawakusanya kutoka mataifa yote na mahali pote nilipokuwa nimewafukuzia, nami nitawarudisha mahali ambapo nilikuwa nimewatoa walipochukuliwa uhamishoni,” asema Bwana.
Jeremiah 30:18“Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “ ‘Nitarudisha baraka za mahema ya Yakobo, 2 na kuhurumia maskani yake. 1 Mji utajengwa tena juu ya magofu yake, 2 nalo jumba la kifalme litasimama mahali pake halisi. 1
Jeremiah 31:28Kama vile nilivyowaangalia ili kungʼoa na kubomoa, kuharibu, kuangamiza na kuleta maafa juu yao, vivyo hivyo nitawaangalia ili kujenga na kupanda,” asema Bwana.
Jeremiah 33:7Nitawarudisha Yuda na Israeli kutoka nchi ya kutekwa kwao, na kuwajenga tena kama walivyokuwa hapo awali.