Yeremia 32:41
Nitafurahia kuwatendea mema, na kwa hakika nitawapanda katika nchi hii kwa moyo wangu wote na roho yangu yote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 60:21Ndipo watu wako wote watakuwa waadilifu, 2 nao wataimiliki nchi milele. 1 Wao ni chipukizi nililolipanda, 2 kazi ya mikono yangu, 2 ili kuonyesha utukufu wangu. 1
Isaiah 62:5Kama vile kijana aoavyo mwanamwali, 2 ndivyo wanao + 62:5 Au: wajenzi wako. watakavyokuoa wewe; 1 kama bwana arusi amfurahiavyo bibi arusi wake, 2 ndivyo Mungu wako atakavyokufurahia wewe. 1
Jeremiah 18:9Ikiwa wakati mwingine nitatangaza kuwa taifa ama utawala ujengwe na kuwekwa wakfu,
Jeremiah 31:28Kama vile nilivyowaangalia ili kungʼoa na kubomoa, kuharibu, kuangamiza na kuleta maafa juu yao, vivyo hivyo nitawaangalia ili kujenga na kupanda,” asema Bwana.
Hosea 2:19Nitakuposa uwe wangu milele; 2 nitakuposa kwa uadilifu na haki, 2 kwa upendo na huruma. 1
Amos 9:15Nitaipanda Israeli katika nchi yao wenyewe, 2 hawatangʼolewa tena 2 kutoka nchi ambayo nimewapa,” 4 asema Bwana Mungu wenu.