Colossians 3:21
Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, wasije wakakata tamaa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Fathers, provoke not your children to anger, lest they be discouraged.
In Context
20Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote, kwa maana hivi ndivyo inavyompendeza Bwana.
Cross References
Proverbs 3:12kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao, 2 kama vile baba afanyavyo 2 kwa mwana apendezwaye naye. 1
Ephesians 6:4Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni kwa nidhamu na mafundisho ya Bwana. 1 Mafundisho Kuhusu Watumwa Na Mabwana
Hebrews 12:5Nanyi mmesahau yale maneno ya kuwaonya yanayowataja ninyi kuwa wana, yakisema: 1 “Mwanangu, usidharau adhabu ya Bwana, 2 wala usikate tamaa akikukemea, 1