Wakolosai 3:4
Wakati Kristo, aliye uzima wenu, atakapotokea, ndipo nanyi mtakapotokea pamoja naye katika utukufu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When Christ, who is our life, shall appear, then shall ye also appear with him in glory.
In Context
3Kwa maana ninyi mlikufa, nao uhai wenu sasa umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu.
Cross References
Psalms 73:24Unaniongoza kwa shauri lako, 2 hatimaye utaniingiza katika utukufu. 1
Matthew 13:43Ndipo wenye haki watangʼaa kama jua katika Ufalme wa Baba yao. Yeye aliye na masikio, na asikie. 1 Mfano Wa Hazina Iliyofichwa Na Lulu
John 11:25Yesu akamwambia, “Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi
John 14:6Yesu akawaambia, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima. Mtu hawezi kuja kwa Baba isipokuwa kwa kupitia kwangu.
John 20:31Lakini haya yameandikwa ili mweze kuamini ya kuwa Yesu ndiye Kristo, + 20:31 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Mwana wa Mungu, na kwa kumwamini mpate uzima katika jina lake.
1 Corinthians 1:7Kwa hiyo hamkupungukiwa na karama yoyote ya kiroho wakati mnangoja kwa shauku kudhihirishwa kwa Bwana wetu Yesu Kristo.