Daniel 1:17
Mungu akawapa hawa vijana wanne maarifa na ufahamu wa kila aina ya maandiko na elimu. Naye Danieli aliweza kufahamu maono na aina zote za ndoto.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 41:8Asubuhi yake, alifadhaika akilini, hivyo akawaita waaguzi wote pamoja na watu wenye busara wa Misri. Walipokuja, Farao akawaeleza ndoto zake, lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kumfasiria.
Numbers 12:6Bwana akasema, “Sikilizeni maneno yangu: 1 “Akiwapo nabii wa Bwana miongoni mwenu, 2 nitajifunua kwake kwa maono, 2 nitanena naye katika ndoto. 1
1 Kings 3:28Wakati Israeli yote iliposikia hukumu aliyotoa mfalme, wakamwogopa mfalme, kwa sababu waliona kuwa alikuwa na hekima kutoka kwa Mungu kwa kutoa haki.
2 Chronicles 1:10Nakuomba unipe mimi hekima na maarifa, ili niweze kuongoza watu hawa, kwa kuwa ni nani awezaye kutawala hawa watu wako walio wengi hivi?”
2 Chronicles 26:5Akamtafuta Mungu katika siku za Zekaria, aliyemwelekeza kumcha Mungu. Wakati wote alipomtafuta Bwana, Mungu alimfanikisha.
Psalms 119:98Amri zako zimenipa hekima zaidi kuliko adui zangu, 2 kwa kuwa nimezishika daima. 1