Daniel 1:5
Mfalme akawaagizia kiasi cha chakula na divai ya kila siku kutoka meza ya mfalme. Walikuwa wafundishwe kwa miaka mitatu, na hatimaye waingie kwenye utumishi wa mfalme.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Baadhi ya hawa vijana walitoka Yuda: nao ni Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria.
Cross References
1 Samuel 16:22Basi Sauli akatuma ujumbe kwa Yese, akisema, “Mruhusu Daudi abaki katika utumishi wangu, kwa kuwa ninapendezwa naye.”
1 Kings 10:8Heri watu wako! Heri hawa maafisa wako wasimamao mbele yako daima na kusikia hekima yako!
2 Chronicles 9:7Heri watu wako! Heri hawa maafisa wako wasimamao mbele yako daima na kusikia hekima yako!
Daniel 1:8Lakini Danieli alikusudia kuwa hatajitia unajisi kwa chakula cha mfalme na divai, naye akamwomba mkuu wa maafisa ruhusa ili asijinajisi kwa njia hii.
Matthew 6:11Utupatie riziki yetu 2 ya kila siku. 1
Luke 11:3Utupatie kila siku riziki yetu. 1