Daniel 11:22
Ndipo jeshi kubwa litafagiliwa mbele yake; jeshi pamoja na mkuu mmoja wa agano wataangamizwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 8:7kwa hiyo Bwana yu karibu kuleta dhidi yao 2 mafuriko makubwa ya Mto: + 8:7 Yaani Frati. 2 yaani mfalme wa Ashuru na fahari yake yote. 1 Yatafurika juu ya mifereji yake yote, 2 yatamwagikia juu ya kingo zake zote, 1
Daniel 8:11Pembe hiyo ikajikweza ili iwe kama Mkuu wa hilo jeshi; ikamwondolea dhabihu ya kila siku, napo mahali pake patakatifu pakashushwa chini.
Daniel 9:26Baada ya majuma sitini na mawili, Mpakwa Mafuta atakatiliwa mbali, wala hatabaki na kitu. Watu wa mtawala atakayekuja watauharibu mji pamoja na mahali patakatifu. Mwisho utakuja kama mafuriko: Vita vitaendelea mpaka mwisho, nao ukiwa umeamriwa.
Amos 8:8“Je, nchi haitatetemeka kwa ajili ya hili, 2 nao wote waishio ndani mwake hawataomboleza? 1 Nchi yote itainuka kama Naili; 2 itapanda na kushuka kama mto wa Misri.
Nahum 1:8lakini kwa mafuriko makubwa, 1 ataangamiza Ninawi; 2 atafuatilia adui zake hadi gizani. 1