Daniel 11:29
“Wakati ulioamriwa, atavamia tena Kusini, lakini wakati huu matokeo yake yatakuwa tofauti na yale ya wakati wa kwanza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 14:31Piga yowe, ee lango! Bweka, ee mji! 2 Yeyukeni, enyi Wafilisti wote! 1 Wingu la moshi linakuja toka kaskazini, 2 wala hakuna atakayechelewa katika safu zake. 1
Daniel 10:1Katika mwaka wa tatu wa utawala wa Koreshi mfalme wa Uajemi, Danieli (ambaye aliitwa Belteshaza) alipewa ufunuo. Ujumbe wake ulikuwa kweli, nao ulihusu vita vikubwa. Ufahamu wa ujumbe ulimjia katika maono.
Daniel 11:25“Pamoja na jeshi kubwa atachochea nguvu zake na ushujaa wake dhidi ya mfalme wa Kusini. Mfalme wa Kusini atafanya vita na jeshi lenye nguvu sana, lakini hataweza kusimama kwa sababu ya kwa hila zilizofanywa dhidi yake.
Galatians 4:2Yeye huwa yuko chini ya uangalizi wa walezi na wadhamini mpaka ufike wakati uliowekwa na baba yake.