The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 11 › Daniel 11:30

Daniel 11:30

Meli za nchi ya Kitimu zitampinga, naye atavunjika moyo. Ndipo atarudi nyuma na kutoa wazi hasira yake dhidi ya agano takatifu. Atarudi na kuonyesha fadhili kwa wale waliachao agano takatifu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the ships of Chittim shall come against him: therefore he shall be grieved, and return, and have indignation against the holy covenant: so shall he do; he shall even return, and have intelligence with them that forsake the holy covenant.

In Context

29“Wakati ulioamriwa, atavamia tena Kusini, lakini wakati huu matokeo yake yatakuwa tofauti na yale ya wakati wa kwanza.

31“Majeshi yake yenye silaha yatainuka ili kunajisi ngome ya Hekalu, na kuondolea mbali sadaka ya kuteketezwa ya kila siku. Ndipo watalisimamisha chukizo la uharibifu lisababishalo ukiwa.

Read all of Daniel 11

Cross References

Numbers 24:24Meli zitakuja kutoka pwani za Kitimu, 1 zitaitiisha Ashuru na Eberi, 2 lakini nao pia wataangamizwa.”

Nehemiah 6:12Nilitambua kwamba Mungu hakumtuma, bali alitabiri dhidi yangu kwa sababu Tobia na Sanbalati walikuwa wamemwajiri.

Isaiah 23:12Alisema, “Usizidi kufurahi, 2 ee Bikira Binti Sidoni, sasa umepondwa! 1 “Simama, vuka uende Kitimu; 2 hata huko hutapata pumziko.” 1

Ezekiel 27:6Walichukua mialoni toka Bashani 2 wakakutengenezea makasia yako; 1 kwa miti ya msanduku 2 kutoka pwani ya Kitimu 1 wakatengeneza sitaha + 27:6 Yaani sakafu ya merikebu au mashua. yako 2 na kuipamba kwa pembe za ndovu. 1

Daniel 11:28Mfalme wa Kaskazini atarudi katika nchi yake na utajiri mwingi, lakini atakuwa ameukaza moyo wake kinyume na agano takatifu. Atachukua hatua dhidi ya hilo agano, kisha atarudi nchi yake.

Revelation 12:12Kwa hiyo, furahini ninyi mbingu 2 na wote wakaao humo! 1 Lakini ole wenu nchi na bahari, 2 kwa maana huyo ibilisi ameshuka kwenu, 1 akiwa amejaa ghadhabu, 2 kwa sababu anajua ya kuwa 2 muda wake ni mfupi!”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 11:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 11:29Daniel 11Daniel 11:31 →