Proverbs 12:8
Mtu husifiwa kulingana na hekima yake, 2 bali watu wenye akili zilizopotoka hudharauliwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Watu waovu huondolewa na kutoweka, 2 bali nyumba ya mwenye haki husimama imara. 1
Cross References
1 Samuel 2:30“Kwa hiyo, Bwana, Mungu wa Israeli asema: ‘Niliahidi kuwa nyumba yako na nyumba ya baba yako wangehudumu mbele zangu milele.’ Lakini sasa Bwana anasema: ‘Jambo hili na liwe mbali nami! Wale wanaoniheshimu nitawaheshimu, wale wanaonidharau mimi watadharauliwa.
1 Samuel 16:18Mmoja wa watumishi wake akajibu, “Nimemwona mwana wa Yese Mbethlehemu ambaye anajua kupiga kinubi. Yeye ni mtu hodari na shujaa wa vita. Ni mwenye busara katika kunena, mtu mzuri wa umbo. Bwana yu pamoja naye.”
1 Samuel 25:17Sasa fikiri juu ya jambo hili na uone unaweza kufanya nini, kwa sababu maafa yanakaribia juu ya bwana wetu na nyumba yake yote. Yeye ni mtu mwovu kiasi kwamba hakuna mtu awezaye kuzungumza naye.”
Proverbs 1:26mimi nami nitawacheka katika maafa yenu, 2 nitawadhihaki wakati janga litawapata: 1
Proverbs 5:23Atakufa kwa kukosa nidhamu, 2 akipotoshwa kwa upumbavu wake mwenyewe.
Daniel 12:2Wengi ambao wamelala kwenye mavumbi wataamka, baadhi yao kwa uzima wa milele, wengine kwa aibu na kudharauliwa milele.