Daniel 12:3
Wale wenye hekima watangʼaa kama mwanga wa mbingu, nao wale ambao huwaongoza wengi kutenda haki, watangʼaa kama nyota milele na milele.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 5:31“Adui zako wote na waangamie, Ee Bwana! 2 Bali wote wakupendao na wawe kama jua 2 lichomozavyo kwa nguvu zake.” Hivyo nchi ikawa na amani kwa miaka arobaini.
Proverbs 4:18Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, 2 ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu. 1
Ecclesiastes 12:9Mhubiri hakuwa tu na hekima, bali aliwagawia watu maarifa pia. Alitafakari na kutafiti na akaweka katika utaratibu mithali nyingi.
Daniel 11:33“Wenye hekima watawafundisha wengi, ingawa kwa kitambo watauawa kwa upanga au kuchomwa moto, au kukamatwa au kufanywa mateka.
Matthew 13:43Ndipo wenye haki watangʼaa kama jua katika Ufalme wa Baba yao. Yeye aliye na masikio, na asikie. 1 Mfano Wa Hazina Iliyofichwa Na Lulu
Matthew 24:45“Ni nani basi aliye mtumishi mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake amemweka kusimamia watumishi wengine katika nyumba yake, ili awape chakula chao kwa wakati unaofaa?