Daniel 2:31
“Ee mfalme, ulitazama, na mbele yako ilisimama sanamu kubwa, kubwa mno kupita kiasi, sanamu iliyongʼaa na kutisha kwa kuonekana kwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 13:11Nitauadhibu ulimwengu kwa ajili ya uovu wake, 2 waovu kwa ajili ya dhambi zao. 1 Nitakomesha majivuno ya wenye kiburi, 2 na nitakishusha kiburi cha watu wakatili. 1
Ezekiel 28:7mimi nitawaleta wageni dhidi yako, 2 taifa katili kuliko yote; 1 watafuta panga zao dhidi ya uzuri wa hekima yako, 2 na kuchafua fahari yako inayongʼaa. 1
Daniel 2:37Ee mfalme, wewe ni mfalme wa wafalme. Mungu wa mbinguni amekupa wewe utawala, uweza, nguvu na utukufu.
Habakkuk 1:7Ni watu wanoogopwa na wanaotisha; 2 wenyewe ndio sheria yao, 2 na huinua heshima yao wenyewe. 1
Luke 4:5Ibilisi akampeleka hadi juu ya mlima mrefu akamwonyesha milki zote za dunia kwa mara moja.