Isaiah 13:11
Nitauadhibu ulimwengu kwa ajili ya uovu wake, 2 waovu kwa ajili ya dhambi zao. 1 Nitakomesha majivuno ya wenye kiburi, 2 na nitakishusha kiburi cha watu wakatili. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 11:31Kama wenye haki watapokea ujira wao duniani, 2 si zaidi sana yule asiyemcha Mungu na mwenye dhambi?
Isaiah 2:12Bwana Mwenye Nguvu Zote anayo siku aliyoiweka akiba 2 kwa wote wenye kujivuna na wenye kiburi, 2 kwa wote wanaojikweza 2 (nao watanyenyekezwa), 1
Isaiah 3:11Ole kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao! 2 Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda. 1
Isaiah 11:4bali kwa uadilifu atahukumu wahitaji, 2 kwa haki ataamua wanyenyekevu wa dunia. 1 Ataipiga dunia kwa fimbo ya kinywa chake, 2 kwa pumzi ya midomo yake atawaua waovu. 1
Isaiah 14:21Andaa mahali pa kuwachinjia wanawe 2 kwa ajili ya dhambi za baba zao, 1 wasije wakainuka ili kuirithi nchi 2 na kuijaza dunia kwa miji yao. 1
Isaiah 25:5na kama joto la jangwani. 1 Wewe wanyamazisha makelele ya wageni; 2 kama vile hari ipunguzwavyo na kivuli cha wingu, 2 ndivyo wimbo wa wakatili unyamazishwavyo. 1