Daniel 2:37
Ee mfalme, wewe ni mfalme wa wafalme. Mungu wa mbinguni amekupa wewe utawala, uweza, nguvu na utukufu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
36“Hii ndiyo iliyokuwa ndoto, nasi sasa tutamfasiria mfalme.
Cross References
2 Kings 25:28Alizungumza naye kwa upole na kumpa kiti cha heshima zaidi kuliko wale wafalme wengine aliokuwa nao huko Babeli.
Ezra 1:2“Hili ndilo asemalo Koreshi mfalme wa Uajemi: “ ‘ Bwana, Mungu wa mbinguni, amenipa falme zote duniani, na ameniagiza kumjengea Hekalu huko Yerusalemu katika Yuda.
Psalms 62:11Jambo moja Mungu amelisema, 2 mambo mawili nimeyasikia: 1 kwamba, Ee Mungu, 2 wewe una nguvu, 1
Isaiah 10:8Maana asema, ‘Je, wafalme wote 2 si majemadari wangu? 1
Jeremiah 27:6Sasa nitazitia nchi zenu zote mkononi mwa mtumishi wangu Nebukadneza mfalme wa Babeli, na nitawafanya hata wanyama wa mwituni wamtumikie.
Ezekiel 26:7“Kwa maana hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Kutoka kaskazini nitamleta dhidi ya Tiro Mfalme Nebukadneza wa Babeli, mfalme wa wafalme, akiwa na farasi na magari ya vita, wapanda farasi na jeshi kubwa.