bible.software › Daniel › Daniel 2 › Daniel 2:36
Daniel 2:36
“Hii ndiyo iliyokuwa ndoto, nasi sasa tutamfasiria mfalme.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This is the dream; and we will tell the interpretation thereof before the king.
In Context
35Ndipo ile chuma, ule udongo wa mfinyanzi, ile shaba, ile fedha na ile dhahabu vikavunjika vipande vipande kwa wakati mmoja, na vikawa kama makapi katika sakafu ya kupuria nafaka wakati wa kiangazi. Upepo ukavipeperusha bila kuacha hata alama. Lakini lile jiwe lililoipiga ile sanamu likawa mlima mkubwa mno na kuijaza dunia yote.
37Ee mfalme, wewe ni mfalme wa wafalme. Mungu wa mbinguni amekupa wewe utawala, uweza, nguvu na utukufu.
Read all of Daniel 2
Cross References
Genesis 40:18Yosefu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Vikapu vitatu ni siku tatu.
Daniel 2:31“Ee mfalme, ulitazama, na mbele yako ilisimama sanamu kubwa, kubwa mno kupita kiasi, sanamu iliyongʼaa na kutisha kwa kuonekana kwake.
This Verse In Other Editions
Study Daniel 2:36