The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 3 › Daniel 3:9

Daniel 3:9

Wakamwambia Mfalme Nebukadneza, “Ee mfalme, uishi milele!

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They spake and said to the king Nebuchadnezzar, O king, live for ever.

In Context

8Wakati huo baadhi ya Wakaldayo walijitokeza na kuwashtaki Wayahudi.

10Ee mfalme, umetoa amri kwamba kila mmoja atakayesikia sauti ya baragumu, filimbi, kinubi, zeze, kinanda, zumari na aina zote za ala za uimbaji lazima aanguke chini na kuiabudu ile sanamu ya dhahabu,

Read all of Daniel 3

Cross References

Daniel 2:4Ndipo wanajimu wakamjibu mfalme kwa lugha ya Kiaramu, + 2:4 Kutoka hapa hadi Dan 7:28, mwandishi aliandika na Kiaramu. “Ee mfalme, uishi milele! Waambie watumishi wako hiyo ndoto, nasi tutaifasiri.”

Daniel 5:10Malkia + 5:10 Au: Mama yake mfalme. aliposikia sauti za mfalme na wakuu wake, alikuja katika ukumbi wa karamu. Akasema, “Ee mfalme, uishi milele! Usishtuke! Usibadilike rangi kiasi hicho!

Daniel 6:21Danieli akajibu, “Ee mfalme, uishi milele!

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 3:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 3:8Daniel 3Daniel 3:10 →