Daniel 5:10
Malkia + 5:10 Au: Mama yake mfalme. aliposikia sauti za mfalme na wakuu wake, alikuja katika ukumbi wa karamu. Akasema, “Ee mfalme, uishi milele! Usishtuke! Usibadilike rangi kiasi hicho!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 35:17Alipokuwa katika shida hii katika kujifungua, mkunga akamwambia, “Usiogope, kwa sababu umempata mwana mwingine.”
1 Kings 1:31Kisha Bathsheba akasujudu akipiga magoti mbele ya mfalme uso wake ukigusa ardhi akasema, “Bwana wangu Mfalme Daudi na aishi milele!”
Job 21:34“Hivyo ninyi mnawezaje kunifariji kwa upuzi wenu? 2 Hakuna kilichosalia cha majibu yenu isipokuwa uongo!”
Daniel 3:9Wakamwambia Mfalme Nebukadneza, “Ee mfalme, uishi milele!
Daniel 6:21Danieli akajibu, “Ee mfalme, uishi milele!