Daniel 4:30
alisema, “Je, huu si Babeli mji mkuu nilioujenga kama makao ya kifalme, kwa uwezo wangu mkubwa, na kwa ajili ya utukufu wa enzi yangu?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
29Miezi kumi na miwili baadaye, mfalme alipokuwa akitembea juu ya paa la jumba la kifalme la Babeli,
Cross References
Genesis 11:2Watu walipoelekea upande wa mashariki, wakafika kwenye tambarare katika nchi ya Shinari + 11:2 Shinari ndio Babeli. nao wakaishi huko.
2 Chronicles 2:5“Hekalu nitakalolijenga litakuwa kubwa, kwa sababu Mungu wetu ni mkuu kuliko miungu mingine yote.
Psalms 49:20Mwanadamu mwenye utajiri bila ufahamu 2 ni kama wanyama waangamiao.
Psalms 104:1Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. 1 Ee Bwana Mungu wangu, wewe ni mkuu sana, 2 umejivika utukufu na enzi. 1
Proverbs 11:2Kiburi kinapokuja, ndipo huja aibu, 2 bali unyenyekevu huja na hekima. 1
Isaiah 10:8Maana asema, ‘Je, wafalme wote 2 si majemadari wangu? 1