The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 4 › Daniel 4:31

Daniel 4:31

Maneno hayo yalikuwa bado katika midomo yake wakati sauti ilipokuja kutoka mbinguni, ikisema, “Mfalme Nebukadneza, hiki ndicho kilichoamriwa kwa ajili yako: Mamlaka yako ya ufalme yameondolewa kutoka kwako.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

While the word was in the king’s mouth, there fell a voice from heaven, saying, O king Nebuchadnezzar, to thee it is spoken; The kingdom is departed from thee.

In Context

30alisema, “Je, huu si Babeli mji mkuu nilioujenga kama makao ya kifalme, kwa uwezo wangu mkubwa, na kwa ajili ya utukufu wa enzi yangu?”

32Utafukuzwa mbali na wanadamu, ukaishi pamoja na wanyama pori, na utakula manyasi kama ngʼombe. Nyakati saba zitapita juu yako, mpaka utakapokubali kuwa Yeye Aliye Juu Sana ndiye anayetawala juu ya falme za wanadamu, naye humtawaza yeyote amtakaye.”

Read all of Daniel 4

Cross References

Exodus 15:9“Adui alijivuna, 2 ‘Nitawafuatia, nitawapata. 1 Nitagawanya nyara; 2 nitajishibisha kwa wao. 1 Nitafuta upanga wangu 2 na mkono wangu utawaangamiza.’ 1

1 Samuel 15:23Kwa maana kuasi ni kama dhambi ya uaguzi, 2 nao ukaidi ni kama uovu wa kuabudu sanamu. 1 Kwa sababu umelikataa neno la Bwana, 2 naye amekukataa wewe 2 kuendelea kuwa mfalme.”

Psalms 145:13Ufalme wako ni ufalme wa milele, 2 mamlaka yako hudumu vizazi vyote. 1 Bwana ni mwaminifu kwa ahadi zake zote 2 na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya. 1

Daniel 4:34Mwisho wa huo wakati, mimi Nebukadneza, niliinua macho yangu kuelekea mbinguni, nazo fahamu zangu zikanirudia. Ndipo nikamsifu Yeye Aliye Juu Sana, nikamheshimu na kumhimidi yeye aishiye milele. 1 Utawala wake ni utawala wa milele; 2 ufalme wake hudumu kutoka kizazi na kizazi. 1

Daniel 5:28Peresi: Ufalme wako umegawanywa na kupewa Wamedi na Waajemi.”

Daniel 12:7Kisha mtu yule aliyevaa nguo za kitani, aliyekuwa juu ya maji ya mto, akainua mkono wake wa kuume na mkono wake wa kushoto kuelekea mbinguni, nami nikamsikia akiapa kwa jina lake yeye aishiye milele, akisema, “Itakuwa wakati, nyakati mbili, na nusu wakati. + 12:7 Wakati, nyakati mbili na nusu wakati maana yake mwaka mmoja, miaka miwili, na nusu mwaka, yaani miaka mitatu na nusu. Nguvu za watu watakatifu zitakapokuwa zimevunjwa kabisa, ndipo mambo haya yote yatakapotimizwa.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 4:31

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 4:30Daniel 4Daniel 4:32 →