Daniel 4:37
Basi mimi, Nebukadneza, humhimidi, na humtukuza na kumsifu Mfalme wa mbinguni, kwa sababu kila kitu afanyacho ni haki, na njia zake zote ni adili. Nao waendao kwa kiburi anaweza kuwashusha.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 8:4Vyura watapanda juu yako, juu ya watu wako na maafisa wako wote.’ ”
Deuteronomy 32:4Yeye ni Mwamba, kazi zake ni kamilifu, 2 njia zake zote ni haki. 1 Mungu mwaminifu ambaye hakosei, 2 yeye ni mnyofu na mwenye haki. 1
2 Chronicles 33:11Hivyo Bwana akaleta juu yao majemadari wa jeshi la mfalme wa Ashuru, ambao walimchukua Manase kwenda kifungoni, wakaweka ndoana katika pua yake, wakamfunga kwa pingu za shaba na kumpeleka Babeli.
Esther 6:10Mfalme akamwamuru Hamani, “Nenda mara moja, chukua joho na farasi na ufanye kama vile ulivyopendekeza kwa Mordekai Myahudi, akaaye langoni mwa mfalme. Usipuuze kufanya kitu chochote ulichoshauri.”
Psalms 33:4Maana neno la Bwana ni haki na kweli, 2 ni mwaminifu kwa yote atendayo. 1
Psalms 119:75Ee Bwana, ninajua kwamba sheria zako ni za haki, 2 katika uaminifu wako umeniadhibu. 1