Exodus 8:4
Vyura watapanda juu yako, juu ya watu wako na maafisa wako wote.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the frogs shall come up both on thee, and upon thy people, and upon all thy servants.
In Context
Cross References
Exodus 8:24Naye Bwana akafanya hivyo. Makundi makubwa ya mainzi yalimiminika katika jumba la kifalme la Farao na katika nyumba za maafisa wake, pia nchi yote ya Misri ikaharibiwa na mainzi.
Exodus 10:17Sasa unisamehe dhambi yangu mara moja tena na umwombe Bwana Mungu wako aondoe pigo hili baya kwangu.”
1 Kings 13:6Kisha mfalme akamwambia mtu wa Mungu, “Niombee kwa Bwana Mungu wako ili mkono wangu upate kupona.” Kwa hiyo mtu wa Mungu akamwombea kwa Bwana, nao mkono wa mfalme ukapona na kuwa kama ulivyokuwa hapo kwanza.
Isaiah 19:11Maafisa wa Soani ni wapumbavu kabisa, 2 washauri wa Farao wenye busara wanatoa ushauri wa kijinga. 1 Unawezaje kumwambia Farao, 2 “Mimi ni mmojawapo wa watu wenye hekima, 2 mwanafunzi wa wafalme wa zamani”? 1
Isaiah 23:9Bwana Mwenye Nguvu Zote ndiye alipanga jambo hili, 2 ili kukishusha kiburi cha utukufu wote 1 na kuwanyenyekesha wale wote 2 ambao ni mashuhuri duniani. 1
Acts 12:22Watu waliokuwa wamekusanyika wakapiga kelele, wakisema, “Hii si sauti ya mwanadamu, bali ni ya Mungu.”