The Bible Software
bible.softwareDeuteronomyDeuteronomy 32 › Deuteronomy 32:4

Deuteronomy 32:4

Yeye ni Mwamba, kazi zake ni kamilifu, 2 njia zake zote ni haki. 1 Mungu mwaminifu ambaye hakosei, 2 yeye ni mnyofu na mwenye haki. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He is the Rock, his work is perfect: for all his ways are judgment: a God of truth and without iniquity, just and right is he.

In Context

3Nitalitangaza jina la Bwana. 2 Naam, sifuni ukuu wa Mungu wetu! 1

5Wamefanya mambo ya upotovu mbele zake; 2 kwa aibu yao, wao si watoto wake tena, 2 lakini ni kizazi kilicho kiovu na kilichopotoka. 1

Read all of Deuteronomy 32

Cross References

Genesis 18:25Hilo na liwe mbali nawe, kufanya jambo kama hilo, kuwaua wenye haki pamoja na waovu, kuwatendea wenye haki sawasawa na waovu. Iwe mbali nawe! Je, Mwamuzi wa dunia yote hatafanya lililo sawa?”

Deuteronomy 7:9Basi ujue kwamba Bwana Mungu wako ndiye Mungu; ni Mungu mwaminifu, anayetunza Agano la upendo kwa maelfu ya vizazi vya wale wanaompenda na kuzishika amri zake.

Deuteronomy 32:15Yeshuruni + 32:15 Yeshuruni maana yake ni Yeye aliye mnyofu, yaani Israeli (ona pia Kum 33:26; Isa 44:2 ). alinenepa na kupiga teke; 2 alikuwa na chakula tele, 2 akawa mzito na akapendeza sana. 1 Akamwacha Mungu aliyemuumba, 2 na kumkataa Mwamba Mwokozi wake. 1

Deuteronomy 32:30Mtu mmoja angewezaje kufukuza elfu moja, 2 au wawili kufukuza elfu kumi, 1 kama si kwamba Mwamba wao amewauza, 2 kama si kwamba Bwana amewaacha? 1

2 Samuel 22:2Akasema: 1 “ Bwana ni mwamba wangu, 2 ngome yangu na mwokozi wangu, 1

2 Samuel 22:47“ Bwana yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu! 2 Atukuzwe Mungu, 2 Mwamba, Mwokozi wangu! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Deuteronomy 32:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Deuteronomy 32:3Deuteronomy 32Deuteronomy 32:5 →