The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 5 › Daniel 5:25

Daniel 5:25

“Haya ndiyo maneno yaliyoandikwa: mene, mene, tekeli na peresi

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And this is the writing that was written, MENE, MENE, TEKEL, UPHARSIN.

In Context

24Kwa hiyo ameutuma mkono ule ulioandika maneno.

26“Hii ndiyo maana ya maneno haya: 1 “ Mene: Mungu amezihesabu siku za utawala wako na kuukomesha. 1

Read all of Daniel 5

Cross References

1 Samuel 28:19Zaidi ya hayo, Bwana atawatia Israeli pamoja na wewe mikononi mwa Wafilisti, na kesho wewe na wanao mtakuwa pamoja nami. Bwana pia atalitia jeshi la Israeli mikononi mwa Wafilisti.”

Isaiah 14:11Majivuno yako yote yameshushwa mpaka kuzimu, 2 pamoja na kelele ya vinubi vyako, 1 mafunza yametanda chini yako, 2 na minyoo imekufunika. 1

Jeremiah 27:7Mataifa yote yatamtumikia yeye, pamoja na mwanawe na mwana wa mwanawe, hadi wakati wa nchi yake utakapowadia, kisha mataifa mengi na wafalme wenye nguvu nyingi watamshinda.

Luke 1:51Kwa kuwa ametenda mambo ya ajabu kwa mkono wake; 2 amewatawanya wale wenye kiburi 2 ndani ya mioyo yao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 5:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 5:24Daniel 5Daniel 5:26 →