Isaya 14:11
Majivuno yako yote yameshushwa mpaka kuzimu, 2 pamoja na kelele ya vinubi vyako, 1 mafunza yametanda chini yako, 2 na minyoo imekufunika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 17:13Kama nyumba pekee ninayoitarajia ni kaburi, + 17:13 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 2 kama nikikitandika kitanda changu gizani, 1
Job 21:26Hao wote hulala mavumbini, 2 nao mabuu huwafunika wote. 1
Isaiah 21:4Moyo wangu unababaika, 2 woga unanifanya nitetemeke, 2 gizagiza la jioni nililolitamani sana, 2 limekuwa hofu kuu kwangu. 1
Isaiah 66:24“Nao watatoka nje na kuona maiti za wale walioniasi mimi. Funza wao hawatakufa, wala moto wao hautazimika, nao watakuwa kitu cha kuchukiza sana kwa wanadamu wote.”
Ezekiel 32:19Je, ninyi mnamzidi nani kwa uzuri? Shukeni chini! Nanyi mkalazwe pamoja na hao wasiotahiriwa!
Daniel 5:25“Haya ndiyo maneno yaliyoandikwa: mene, mene, tekeli na peresi