The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 5 › Daniel 5:30

Daniel 5:30

Usiku ule ule, Belshaza mfalme wa Wakaldayo akauawa,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In that night was Belshazzar the king of the Chaldeans slain.

In Context

29Ndipo kwa amri ya Belshaza, Danieli akavikwa nguo za zambarau na mkufu wa dhahabu shingoni, tena akatangazwa kuwa mtawala wa tatu katika ufalme.

31naye Dario Mmedi akashika ufalme akiwa na miaka sitini na miwili.

Read all of Daniel 5

Cross References

Isaiah 21:4Moyo wangu unababaika, 2 woga unanifanya nitetemeke, 2 gizagiza la jioni nililolitamani sana, 2 limekuwa hofu kuu kwangu. 1

Jeremiah 51:11“Noeni mishale, 2 chukueni ngao! 1 Bwana amewaamsha wafalme wa Wamedi, 2 kwa sababu nia yake ni kuangamiza Babeli. 1 Bwana atalipiza kisasi, 2 kisasi kwa ajili ya Hekalu lake. 1

Jeremiah 51:39Lakini wakati wakiwa wameamshwa, 2 nitawaandalia karamu 2 na kuwafanya walewe, 1 ili wapige kelele kwa kicheko, 2 kisha walale milele na wasiamke,” 4 asema Bwana. 1

Daniel 5:1Mfalme Belshaza alifanya karamu kubwa kwa ajili ya maelfu ya wakuu wake na akanywa mvinyo pamoja nao.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 5:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 5:29Daniel 5Daniel 5:31 →