Isaiah 21:4
Moyo wangu unababaika, 2 woga unanifanya nitetemeke, 2 gizagiza la jioni nililolitamani sana, 2 limekuwa hofu kuu kwangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 28:67Wakati wa asubuhi utasema hivi, “Laiti ingekuwa jioni!” Jioni utasema, “Laiti ingekuwa asubuhi,” kwa sababu ya hofu ile itakayojaza moyo wako na vitu vile macho yako yatakavyoviona.
2 Samuel 13:28Absalomu aliagiza watu wake, “Sikilizeni! Wakati Amnoni atakapokuwa amekunywa mvinyo na kulewa sana nami nikiwaambia, ‘Mpigeni Amnoni,’ basi muueni. Msiogope. Je, si mimi niliyewapa amri hii? Kuweni hodari na wenye ushujaa.”
Esther 5:12Hamani akaongeza, “Si hayo tu. Mimi ndiye mtu pekee ambaye Malkia Esta amemwalika kumsindikiza mfalme kwenye karamu aliyomwandalia. Naye amenialika pamoja na mfalme kesho.
Job 21:11Huwatoa watoto wao nje kama kundi; 2 wadogo wao huchezacheza. 1
Isaiah 5:11Ole wao wale waamkao asubuhi na mapema 2 wakikimbilia kunywa vileo, 1 wale wakawiao sana mpaka usiku, 2 mpaka wamewaka kwa mvinyo. 1
Jeremiah 51:39Lakini wakati wakiwa wameamshwa, 2 nitawaandalia karamu 2 na kuwafanya walewe, 1 ili wapige kelele kwa kicheko, 2 kisha walale milele na wasiamke,” 4 asema Bwana. 1