Yeremia 51:39
Lakini wakati wakiwa wameamshwa, 2 nitawaandalia karamu 2 na kuwafanya walewe, 1 ili wapige kelele kwa kicheko, 2 kisha walale milele na wasiamke,” 4 asema Bwana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
38Watu wake wote wananguruma kama simba wadogo, 2 wanakoroma kama wana simba. 1
40“Nitawateremsha kama wana-kondoo waendao machinjoni, 2 kama kondoo dume na mbuzi. 1
Cross References
Psalms 13:3Nitazame, unijibu, Ee Bwana Mungu wangu. 2 Yatie nuru macho yangu, 2 ama sivyo nitalala usingizi wa mauti. 1
Isaiah 21:4Moyo wangu unababaika, 2 woga unanifanya nitetemeke, 2 gizagiza la jioni nililolitamani sana, 2 limekuwa hofu kuu kwangu. 1
Jeremiah 25:27“Kisha uwaambie, ‘Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: Kunyweni, mlewe na mtapike; angukeni, wala msiinuke tena kwa sababu ya upanga nitakaotuma miongoni mwenu.’
Jeremiah 51:57Nitawafanya maafisa wake na wenye busara walewe, 2 watawala wao, maafisa, pamoja na wapiganaji wao; 1 watalala milele na hawataamka,” 2 asema Mfalme, ambaye jina lake ni Bwana Mwenye Nguvu Zote.
Daniel 5:30Usiku ule ule, Belshaza mfalme wa Wakaldayo akauawa,
Nahum 3:11Wewe pia utalewa; 2 utakwenda mafichoni 2 na kutafuta kimbilio kutoka kwa adui. 1