Daniel 5:8
Ndipo watu wote wa mfalme wenye hekima wakaingia, lakini hawakuweza kusoma yale maandishi wala kumwambia mfalme maana yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 47:9Haya mawili yatakupata, kufumba na kufumbua, 2 katika siku moja: 2 kufiwa na watoto, na ujane. 1 Yote yatakupata kwa kipimo kikamilifu, 2 ijapokuwa uchawi wako ni mwingi, 2 na uaguzi wako ni mwingi. 1
Daniel 2:27Danieli akajibu, “Hakuna mwenye hekima, msihiri, mganga au mwaguzi anayeweza kumweleza mfalme siri aliyouliza,
Daniel 4:7Walipokuja waganga, wasihiri, wanajimu na waaguzi, niliwaambia ndoto yangu, lakini hawakuweza kunifasiria.