Daniel 5:9
Basi Mfalme Belshaza akazidi kujawa na hofu, na uso wake ukageuka rangi zaidi. Wakuu wake wakapigwa na bumbuazi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 18:11Vitisho vimemtia hofu kila upande, 2 na adui zake humwandama kila hatua. 1
Psalms 48:6Kutetemeka kuliwashika huko, 2 maumivu kama ya mwanamke 2 mwenye utungu wa kuzaa. 1
Isaiah 21:2Nimeonyeshwa maono ya kutisha: 2 Msaliti anasaliti, mteka nyara anateka nyara. 1 Elamu, shambulia! Umedi, izunguke kwa jeshi! 2 Nitakomesha huzuni zote alizosababisha. 1
Jeremiah 30:6Ulizeni na mkaone: 2 Je, mwanaume aweza kuzaa watoto? 1 Kwa nini basi ninaona kila mwanaume mwenye nguvu 2 ameweka mikono yake tumboni 1 kama mwanamke aliye na utungu wa kuzaa, 2 kila uso ukigeuka rangi kabisa? 1
Daniel 5:6Uso wa mfalme ukageuka rangi, naye akaogopa sana, kiasi kwamba magoti yake yaligongana na miguu yake ikalegea.
Matthew 2:3Mfalme Herode aliposikia jambo hili aliingiwa na hofu sana pamoja na watu wote wa Yerusalemu.