Daniel 6:18
Kisha mfalme akarudi kwenye jumba lake la kifalme, naye usiku kucha hakula chakula wala kutumia viburudisho alivyoletewa. Lakini hakuweza kulala.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Asubuhi na mapema, mfalme akaondoka na kuharakisha kwenda kwenye tundu la simba.
Cross References
2 Samuel 12:16Daudi akamwomba Mungu kwa ajili ya mtoto. Akafunga na akaingia ndani ya nyumba yake akawa siku zote analala sakafuni usiku kucha.
1 Kings 21:27Ahabu aliposikia maneno haya, akararua nguo zake, akavaa nguo za gunia na kufunga. Akalala na kujifunika nguo za gunia na kwenda kwa unyenyekevu.
Job 21:12Huimba nyimbo kwa matari na kwa kinubi, 2 nao huifurahia sauti ya filimbi. 1
Psalms 137:2Kwenye miti ya huko 2 tulitundika vinubi vyetu, 1
Isaiah 24:8Furaha ya matoazi imekoma, 2 kelele za wenye furaha zimekoma, 2 shangwe za kinubi zimenyamaza. 1
Daniel 2:1Katika mwaka wa pili wa utawala wake, Nebukadneza aliota ndoto. Mawazo yake yakasumbuka na hakuweza kulala.