The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 24 › Isaiah 24:8

Isaiah 24:8

Furaha ya matoazi imekoma, 2 kelele za wenye furaha zimekoma, 2 shangwe za kinubi zimenyamaza. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The mirth of tabrets ceaseth, the noise of them that rejoice endeth, the joy of the harp ceaseth.

In Context

7Divai mpya inakauka na mzabibu unanyauka, 2 watu wote wafurahishao wanalia kwa huzuni. 1

9Hawanywi tena mvinyo pamoja na wimbo, 2 kileo ni kichungu kwa wanywaji wake. 1

Read all of Isaiah 24

Cross References

Psalms 137:2Kwenye miti ya huko 2 tulitundika vinubi vyetu, 1

Isaiah 23:15Wakati huo Tiro utasahauliwa kwa miaka sabini, muda wa maisha ya mfalme. Lakini mwisho wa miaka hiyo sabini, itakuwa kwa Tiro kama ilivyo katika wimbo wa kahaba: 1

Jeremiah 16:9Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote, aliye Mungu wa Israeli: ‘Mbele ya macho yako na katika siku zako, nitakomesha sauti zote za shangwe na za furaha, na pia sauti za bibi arusi na bwana arusi mahali hapa.’

Ezekiel 26:13Nitakomesha kelele za nyimbo zako, na uimbaji wako wa kinubi kamwe hautasikika tena.

Amos 6:7Kwa hiyo mtakuwa miongoni mwa watu wa kwanza kwenda uhamishoni; 2 karamu zenu na kustarehe kutakoma. 1 Bwana Anachukia Kiburi Cha Israeli

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 24:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 24:7Isaiah 24Isaiah 24:9 →