Daniel 6:3
Basi Danieli alijidhihirisha, miongoni mwa wasimamizi na wakuu kwa sifa zake za kipekee hata mfalme akapanga kumweka juu ya ufalme wote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ezra 4:22Mwe waangalifu msipuuze jambo hili. Kwa nini kuruhusu tishio hili kuendelea na kusababisha hasara kwa ufalme?
Esther 10:3Mordekai Myahudi alikuwa wa pili kwa cheo kutoka Mfalme Ahasuero, naye alikuwa bora kabisa miongoni mwa Wayahudi, akipandishwa katika heshima ya juu na ndugu zake Wayahudi kwa sababu aliwatendea mema watu wake, na alizungumza kwa ajili ya ustawi wa Wayahudi wote.
Proverbs 17:27Mtu mwenye maarifa hutumia maneno kwa kujizuia, 2 naye mtu mwenye ufahamu ana moyo wa utulivu. 1
Ecclesiastes 2:13Nikaona kuwa hekima ni bora kuliko upumbavu, 2 kama vile nuru ilivyo bora kuliko giza. 1
Daniel 5:14Nimesikia kwamba roho ya miungu iko ndani yako, na kwamba una ufahamu, akili na hekima ya pekee.