Ecclesiastes 2:13
Nikaona kuwa hekima ni bora kuliko upumbavu, 2 kama vile nuru ilivyo bora kuliko giza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then I saw that wisdom excelleth folly, as far as light excelleth darkness.
In Context
Cross References
Psalms 119:105Neno lako ni taa ya miguu yangu 2 na mwanga katika njia yangu. 1
Proverbs 4:5Pata hekima, pata ufahamu; 2 usiyasahau maneno yangu wala usiyaache. 1
Proverbs 14:8Hekima ya mwenye busara ni kufikiria njia zake, 2 bali upumbavu wa wapumbavu ni udanganyifu. 1
Ecclesiastes 7:11Hekima, kama ulivyo urithi, ni kitu chema 2 na huwafaidia wale walionalo jua. 1
Ecclesiastes 9:16Kwa hiyo, nikasema, “Hekima ni bora kuliko nguvu.” Lakini hekima ya maskini imedharauliwa, wala hakuna anayesikiliza maneno yake. 1
Ecclesiastes 11:7Nuru ni tamu, 2 tena inafurahisha macho kuona jua. 1