The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 17 › Proverbs 17:27

Proverbs 17:27

Mtu mwenye maarifa hutumia maneno kwa kujizuia, 2 naye mtu mwenye ufahamu ana moyo wa utulivu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He that hath knowledge spareth his words: and a man of understanding is of an excellent spirit.

In Context

26Si vizuri kumwadhibu mtu asiye na hatia, 2 au kuwapiga sana maafisa kwa ajili ya uadilifu wao. 1

28Hata mtu mpumbavu hudhaniwa kuwa na hekima kama akinyamaza, 2 na mwenye ufahamu kama akiuzuia ulimi wake.

Read all of Proverbs 17

Cross References

Proverbs 10:19Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani, 2 lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni mwenye busara. 1

Proverbs 15:28Moyo wa mwenye haki hupima majibu yake, 2 bali kinywa cha mwovu hufoka ubaya. 1

Ecclesiastes 9:17Maneno ya utulivu ya mwenye hekima 2 husikiwa kuliko makelele ya mtawala wa wapumbavu. 1

James 3:2Sisi sote tunajikwaa katika mambo mengi. Ikiwa mtu yeyote hakosei kamwe katika yale anayosema, yeye ni mkamilifu, naye anaweza kuuzuia pia na mwili wake wote.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 17:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 17:26Proverbs 17Proverbs 17:28 →