Daniel 9:11
Israeli yote imekosea sheria yako na kugeuka mbali, nao wamekataa kukutii. “Kwa hiyo laana na viapo vya hukumu vilivyoandikwa katika Sheria ya Mose, mtumishi wa Mungu, vimemiminwa juu yetu, kwa sababu tumefanya dhambi dhidi yako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Hatukumtii Bwana Mungu wetu wala kuzishika sheria alizotupa kupitia kwa watumishi wake manabii.
Cross References
Deuteronomy 8:20Kama mataifa Bwana aliyoyaangamiza mbele yenu, ndivyo ninyi mtakavyoangamizwa kwa kutokumtii Bwana Mungu wenu.
Deuteronomy 28:15Hata hivyo, kama hutamtii Bwana Mungu wako na kuzishika kwa bidii amri zake zote na maagizo ninayokupa leo, laana hizi zote zitakuja juu yako na kukupata:
Deuteronomy 30:17Lakini kama moyo wako ukigeukia mbali ukawa huna utii, kama umevutwa kuisujudia miungu mingine na kuiabudu,
Deuteronomy 32:19Bwana akaona hili, akawakataa, 2 kwa sababu alikasirishwa 2 na wanawe na binti zake. 1
2 Kings 18:12Hili lilitokea kwa sababu hawakumtii Bwana Mungu wao, lakini walikuwa wamevunja agano lake, yale yote ambayo Mose mtumishi wa Bwana aliwaamuru. Hawakuzisikiliza amri wala kuzitimiza.
Isaiah 1:4Lo! Taifa lenye dhambi, 2 watu waliolemewa na uovu, 1 uzao wa watenda mabaya, 2 watoto waliozoelea upotovu! 1 Wamemwacha Bwana, 2 Wamemkataa kwa dharau 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli 2 na kumgeuzia kisogo. 1