Kumbukumbu 32:19
Bwana akaona hili, akawakataa, 2 kwa sababu alikasirishwa 2 na wanawe na binti zake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Mkamwacha Mwamba, aliyewazaa ninyi; 2 mkamsahau Mungu aliyewazaa. 1
Cross References
Judges 2:14Hivyo hasira ya Bwana ikawaka juu ya Israeli, naye akawatia mikononi mwa wavamizi waliowateka nyara. Akawauza katika mikono ya adui zao pande zote, hivyo hawakuweza tena kuwazuia adui zao.
Psalms 10:3Hujivunia tamaa za moyo wake; 2 humbariki mlafi na kumtukana Bwana. 1
Psalms 82:6“Nilisema, ‘Ninyi ni “miungu”; 2 ninyi nyote ni wana wa Aliye Juu Sana.’ 1
Isaiah 1:2Sikieni, enyi mbingu! Sikilizeni, enyi dunia! 2 Kwa maana Bwana amesema: 1 “Nimewalisha watoto na kuwalea, 2 lakini wameniasi mimi. 1
Jeremiah 44:21“Je, Bwana hakukumbuka na kufikiri juu ya uvumba uliofukizwa katika miji ya Yuda na barabara za Yerusalemu na ninyi pamoja na baba zenu, wafalme wenu, maafisa wenu na watu wa nchi?
Amos 3:2“Ni ninyi tu niliowachagua 2 kati ya jamaa zote za dunia; 1 kwa hiyo nitawaadhibu 2 kwa ajili ya dhambi zenu zote.” 1